Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TUNAWEZA KUFANYA NINI?

Nasikitika sana kuona wazungu wanakuja kutusaidia kudhibiti magonjwa. Kisha wanatutangaza mitandaoni na makwao pamoja na kujipatia faida. Tumeshindwa kujua mambo ya kufanya na kujisimamia wenyewe? Tumeshindwa kudhibiti magonjwa sisi wenyewe?

Inawezekana. Tufanye mambo mawili tu kwanza ili kujikinga dhidi ya magonjwa na tusiumwe
 
KWA NINI HATA MADAKTARI, MANESI, WAFAMASIA NA WATU WENGINE WENYE ELIMU NA UJUZI WA AFYA HUUMWA?

Sababu ni rahisi sana. Wana elimu lakini hawaitumii na kuizingatia muda wote ili kujikinga dhidi ya magonjwa. Vinginevyo madaktari, manesi,wafamasia na wataalam wengine wasingeumwa. Ukitaka usiumwe pata elimu na uizingatie vyema. Kila siku na kila wakati.
 
Back
Top Bottom