mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hatuna cha kumlipa zaidi ya kumwabudu yeye
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie sijambo kabisa yego, Pole sana aisee
Tafuta tanawizi utafune kama nusu kilo hivi[emoji124] [emoji124]
DuGood advice mke. Na akimaliza hiyo nusu kilo alete mrejesho ili tumuongezee zingine kama atakuwa hajapona !!!
Hahahahaha sio roho mbaya kuna matibabu mengine hakuna namna lazima sindanoHadi leo sijawahi kufikiria kuwa ipo siku nitachoma sindano.Kwa mara ya kwanza nilichoma sindano za dripu za kwinini pale Kibamba dispensari ya masista(iresti ini pisi wameibomoa,magu huyuuu!!!) mwaka 2003,sijarudi tena hospitali.
Ni roho mbaya sana mtu kumwandikia dawa za sindano.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ina maana wewe huuguagi? Siri yako ni ipi? Au kubomoa ndoa za ndugu zako na kuchukua wake zao inakupa hormonal rush na ku-impruvu immune system yako?
Du hatari kweli kweli[emoji12] [emoji12] [emoji12]Muone nae huyu,unashabikia nini hapo?
Wewe mwenyewe mharibifu namba moja.Yua medisini izi ini ze kicheni tokotaringi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee nimepitwa na mengi huku hee ina maana sasa Andjul & carbaIna maana alifanikiwa kumchukua Nsamaka?
Nawe ukaona umalizie hasira zako kwa mdogo wako mpole asiye na maneno na mtu Cole?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hili zizi la mkoromije liko imara[emoji124] [emoji124] [emoji124]utanitambuaje kama nimeokokaa...[emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji442] (Ana maanisha kuwa eksi awe "jakitoo" na yupo kwa kayego...)
DuHaumwi
Hakaumwi haka. Kanajikoholesha tu kakiona mademu wakali - haijalishi kama wameolewa ama la.
Usikahurumie !!!