Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MAMBO YA KUZINGATIA
i. Usianze kutumia dawa hizi bila kupata ushauri wa daktari. Ni lazima kujadili mtindo wako wa maisha na hali yako ya kiafya kisha kujua dawa gani zitakuwa nzuri zaidi kwako na njia gani itakuwa nzuri zaidi kuzitumia. Tumia dawa zinazoendana na hali yako, mwili wako na mtindo wako wa maisha
 
ii. Ufanisi wa dawa za kuzuia mimba hutegemea sana jinsi zitakavyotumika. Kwa vidonge vya kawaida vya kumeza kila siku ni vyema mwanamke akameza kila siku wakati wa asubuhi tena saa ile ile. Dawa hizi zinaingiliana na dawa nyingine na ufanisi wake huweza kupungua, kwa hiyo kila mara unapokuwa unapewa dawa za magonjwa mengine hospitali toa taarifa kama unatumia dawa za uzazi wa mpango.
 
Hii ya pili ni ngumu kweli kweli
 
Hii ya pili ni ngumu kweli kweli
Ni ngumu ila inawezekana. Inahitaji will power na ukijichanganya kidogo tu eti uongezee tako moja waweza kuta ushafeli mtihani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Na usiwe vyombo kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…