Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-12-18-27-00.png
 
Ni ugonjwa ambao unaeleweka kwa urahisi na tunaweza kujikinga na kuwakinga tuwapendao kwa urahisi sana. Pia serikali imechukua jitihada mbalimbali za kusaidia kupambana na malaria na kupunguza idadi ya vifo na watoto wanaougua malaria.
 
Kwa nini bado idadi ya watoto wanaoumwa malaria ni kubwa? Wazazi na walezi wa watoto wanachukua hatua madhubuti kuwakinga watoto dhidi ya malaria? Au tuendelee kupoteza watoto wetu kwa sababu ya vifo vinavyotokana na malaria?
 
Mambo ya kufanya ili kumkinga mtoto wako dhidi ya malaria ni pamoja na

Hakikisha hang’atwi na mbu hata mmoja. Unaweza kufanya hivi kwa kumvalisha nguo zinazofunika mwili wake wote vizuri kabisa na kumlaza ndani ya chandarua siku zote. Kinga ni bora kuliko tiba, ni heri utumie pesa kununua chandarua nzuri kuliko kuacha aumwe kisha uhangaike na matibabu. Tumia chandarua kilichowekwa dawa
 
Back
Top Bottom