Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-12-20-04-41.png
 
Malaria huweza kuwa ya kawaida, kali au hata kuathiri ubongo na kumfanya mgonjwa awe kama amechanganyikiwa akili kwa muda.
 
Dalili zake huweza kufanana na magonjwa mengine kwa hiyo ni lazima kufanya vipimo ili kupata uhakika kama ndiyo yenyewe ili kuongeza ufanisi wa matibabu.
 
Habari njema kwa sasa ni kwamba huduma za kupima malaria kwa njia ya haraka (MRDT) na dawa mseto za malaria (ALU) zinapatikana bure kabisa katika vituo vyote vya serikali
 
DAWA ZA MALARIA

Tuna dawa mbalimbali za malaria, nyingi zikiwa ni mchanganyiko wa dawa mbili na baadhi ni dawa moja pekee. Pia zipo katika mitindo mbalimbali kama vile vidonge, sindano na za kunywa katika hali ya kimiminika. Dawa ambazo zinatumika sana ni pamoja na
 
Back
Top Bottom