myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SahihiMzazi hatakiwi kumlinda mtoto kupitiliza, mtoto apewe uhuru wa kucheza na kufanya mambo yake mwenyewe. Jukumu la mzazi libaki kumwongoza mtoto lakini si kumbana na kumzuia/kumfanyia kila anachokifanya.
Kwa nini?Jumatatu wengi huamka wamenuna..
Ujirani mwema eeeh? Safi sana. Jirani hayupo kumepoa hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapi jirani..
Sijui HASA..ila inawezekana wanaona wamekatisha mapumziko au uchovu..Kwa nini?
Labda anamsubiri MTU[emoji16][emoji16][emoji16]Ujirani mwema eeeh? Safi sana. Jirani hayupo kumepoa hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]