Kwa malaria ya kawaida aina mbalimbali za dawa zipo na hufanya vizuri kwa watu walio wengi. Dawa nzuri ni Mseto (ALU), Duo-cotexin, Artequick na D-Artepp.
Dalili za malaria hizi ni homa kali, mgonjwa kutetemeka sana, mgonjwa kuwa kama amechanganyikiwa akili kwa ndani ya muda mfupi, degedege kwa watoto, viungo kutetemeka nk.
Dalili za malaria hizi ni homa kali, mgonjwa kutetemeka sana, mgonjwa kuwa kama amechanganyikiwa akili kwa ndani ya muda mfupi, degedege kwa watoto, viungo kutetemeka nk.
Anza kufika hospitali kwanza ili kupata ushauri wa daktari na vipimo. Baada ya hapo ndipo utajua dawa gani ya kutumia kulingana na hali ya ugonjwa na afya yako.
Anza kufika hospitali kwanza ili kupata ushauri wa daktari na vipimo. Baada ya hapo ndipo utajua dawa gani ya kutumia kulingana na hali ya ugonjwa na afya yako.
Hakikisha kwamba unatumia dawa zote vizuri kabisa. Ufanisi wa dawa za malaria hupungua sana kutokana na matumizi mabaya ya dawa na wadudu wa malaria kujenga usugu. Tumia dawa vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.