Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

285c8b4c1dce2673969a09655c0d21b0.jpg
 
Pata ushauri wa daktari kabla ya kutumia dawa yoyote
Numbisa na wengineo, samahani sana kwa kuwatoa nje ya mada kidogo, sababu nina tatizo na kwenu ndio nimeona mtanisaidia kunitoa wasiwasi.
Mke wangu ni mjamzito wa miezi 9 na next wk ndio siku km ya leo ndio date ya matarajio ya kujifungua. Last wk alienda clinic akaambiwa mtt yupo vizuri na ameshageuka ila bado njia kidogo. Leo ameenda clinic ameambiwa mtt amekaa vibaya. Sasa inatupa wasiwasi coz muda una karibia, je mtt atarudi kukaa sawa? Hii ni kawaida? Mke wangu na mm wote tunaogopa kisu.
Asanteni sana.
 
Mkuu hapa tutakupa hofu tu. Ila mtoto kurudi kukaa sawa inawezekana akiwa na miezi nane kurudi chini,ila wenzetu ulaya inawezekana kumrudisha sawa hata akiwa na miezi tisa. Mkeo kujifungua kwa njia ya kawaida ni asilimia chache sana hasa mkimpata dokta mzoefu anaweza saidia. Njia kufunguka huwa inatokea siku tatu au dakika chache kabla ya kujifungua kulingana na mwili wa mhusika

Ni kawaida kwa masuala ya uzazi.kuweni karibu na wataalamu wa afya.

Msiwe na hofu ombeni tu uzima.hasa wewe baba mtu usionyeshe hofu hadharan itamvunja moyo mjamzito. Be brave

Back
Top Bottom