Meneja wa Burnley Sean Dyche yuko nafasi nzuri kwua meneja wa Everton sababu Meneja wa Watford anataka kusalia na klabu yake. (Sunday Times - subscription required)
Arsenal wana mpango wa kumnunua mshambuliaji wa Crystal Palace raia wa Ivory Coast Wilfried Zaha, 25, kwa kima cha pauni milioni 35 kuchukua mahala pake Alexis Sanchez. (Sun)

Mchezaji wa Chelsea Eden Hazard, 26, ndiye ni nambari moja kati ya wachezaji wanotafutwa na meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane msimu ujao. (Sunday Express)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.