mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Good morning Morogoro
OK tunaweza muona uraiani muda si mrefu@peterkibatala ameyajibu. Kasema hivi 1. Amesema kuwa hakuna hukumu tofauti inayoweza kutolewa kabla mkuhukiwa hajatumikia robo ya kufungo chake ambacho kwa Lulu itakuwa ni miezi 5. 2. Ndani ya hiyo miezi 5 dhamana inaweza kuombwa wakati wakisubiria kukata rufaaa 3. Huwezi kuacha kijana wa miaka 22 mwenye maisha marefu mbele yake apate covinction ya uhalifu. Itaharibu maisha yake. Ndio maana wanakata rufaaa 4. Kukata rufaaa na kuomba dhamana pending appeal na kutumikia jamii ( community service) zinaweza kufanyika kwa wakati mmoja... . . Tulijitahidi kadri ya uwezo wetu na tutaendelea kujitahudi kuweka mambo sawa. Bado kuna nafasi kubwa sana ya kurekebisha kilichotokea. Hatuwezi kusema zaidi ya hapa, poleni wote mlioumiwa na kamwe hatuacha kumpigania..
Asubuhi njemaUsiku mwema
HahahahahaNilifikiri kaWenga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Binti kapata mzungu haijalishi kama huko kwao ni homulesi....
Aisee hii aibu kweliItaly is out of World Cup 2018 in Russia.
Mkuu niaje
Nice song kwa kweliLet's talk about SEX
Yap hatari balaaaWhat a Man
pole na majukumu..Mungu akufanyie wepesi ufauluuu...Salama shemeji kipenzi,habari ya wewe huko uliko?
Nimerudi japo kwa kuibia[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nani mkuu huyoNitarudi tena.
Ngoja nipitie Nyuzi zenye Taarifa za MSIBA wa Mwana JF mwenzetu.
Ni Habari za kusikitisha kwa kweli
Kweli mkuuNa ndio maana tunaambiwa,
Tujifunze kutokana na Makosa yetu
Ina protein za kutoshaMimi sio Muhaya.
Ila hii kitu naipenda sana