Kuna aina nyingine ya watu... Hujifanya wanakupenda na kukuthamini sana kwasababu Una kitu fulani kinachowasaidia... Au kwasababu wananufaika kupitia wewe . . Kile kitu kikiondoka, watakuona kama taka-taka... Kama vile hamjawahi kuonana... Tabia na mienendo yao hubadilika! Wakati mwingine wakifanikiwa watataka kukunyanganya na hicho kidogo ulichonacho.. Ubaki mtupu, au wachukue kila kitu peke yao. . . Again, angalia watu "marafiki" waliokuzunguka, ukigundua wanakutumia.. Hakuna haja kuendelea kuwaganda .