Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pia ni vyema kuwa makini na matumizi ya fedha katika kila hatua ya ujenzi kwani waweza tumia kiasi kikubwa cha fedha bila sababu ya msingi hivyo kujikuta unaishia njiani
 
Unapaswa kubaini kuwa si kila kiwanja kinafaa kulingana na mahitaji yako , Huenda wewe unahitaji nyumba ya kawaida tu lakini sheria za mahali kiwanja chako kilipo inataka pajengwe nyumba za ghorofa moja.
 
Hivyo waweza kujikuta matatizoni na kushindwa kumaliza ujenzi wako katika muda stahiki. Ni vizuri kuepuka kununua viwanja ambavyo hujui taratibu na malengo ya viwanja husika , kama ni kwa shughuli za makazi au viwanda.
Kumbuka ukizingatia mlolongo huu basi ujenzi kwako utakuwa rahisi mno.
 
Dating is so hard today. You don't know if you are meeting the representative. You don't know if the other person is only entertaining you until they can physically have your body. You don't know if they are using your good spirit and good energy to get over an old flame that once burned them. Dating is so hard because so many people are afraid to be transparent with how they feel and what they truly want out of the next person. We project and say that we want all these things, but in the end some of us really don't. Building a bond and a relationship with someone takes an extreme amount of work. You can't take days off when you are in a relationship. Everyday has to be geared towards growing stronger as a couple. You meet so many people today that don't understand that concept. You meet so many people today that just want to waste your time. It would be nice to meet someone without having hidden motives for a change. It would be nice to meet someone you can talk to and forget how much time has passed. It would be nice to meet someone who is tired of getting hurt and tired of getting it wrong just like you, and wants to get it right with someone special one day.

[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
6.KIBALI CHA UJENZI

Baada ya kujiridhisha na gharama za makadirio ya gharama za ujenzi basi waweza songa mbele na kupeleka michoro yako katika mamlaka husika ( manispaa ya mji / jiji ) ili waweze kushughulikia utoaji wa Kibali cha Ujenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…