Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MAN UTD WANAMTAKA SAUL


Manchester United wanataka kumsajili kiungo wa Atletico Madrid Saul Niguez, ambaye dau la euro milioni 150 litahitajika kuvunja mkataba wake, kwa mujibu wa The Sun .
Jose Mourinho anataka kuongeza ubunifu kwenye kikosi chake na anatamani kumwongeza Saul kwenye timu yake majira ya joto msimu ujao.
 
RONALDO ANATAKA KUONDOKA REAL


Cristiano Ronaldo anataka kuondoka Real Madrid, kwa mujibu wa habari za bomshell kutoka Chiringuito TV Hispania.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno amekuwa katika kiwango kibovu miezi ya hivi karibuni, akifunga goli moja tu La Liga hadi sasa.
Inaaminika Ronaldo yupo tayari kuondoka ifikapo Juni 30, baada ya kukataa mkataba mpya Santiago Bernabeu.
 
UZA WILLIAN, NUNUA LUCAS MOURA


Chelsea watamuuza Willian Januari kwani wanataka kumsajili winga wa Paris Saint-Germain Lucas Moura majira ya baridi, le10sport limedai.
Habari zinadai kuwa mshambuliaji huyo wa Blues yupo tayari kwenda China jambo litakalomfungulia milango Lucas.
 
ARSENAL YAACHA KUMFUKUZIA LEMAR


Arsenal wameamua kuachana na mpango wa kumsajili Thomas Lemar na wanaangalia mbadala mwingine kwa mujibu wa habari kutoka Mirror.
Ofa ya Gunners ya paundi milioni 90 ilitolewa nja na Monaco kwa ajili ya nyota huyo wa Ligue 1 - Liverpool na Barcelona zinatamani kuipata saini yake.
 
ARSENAL WANAMTAKA FELLAINI


Arsenal wameugeuzia moyo wao kwa kiungo mahiri wa Manchester United Marouane Fellaini, Calciomercato limeripoti.
Mbelgiji huyo yupo kwenye mwaka wa mwisho wa mkataba wake Old Trafford, pia amekuwa akiivutia Besiktas ya Uturuki.
 
Aliyekuwa mume wa zamani wa Irene Uwoya ,Hamad Ndikumana Kataut ambaye pia alikuwa kocha msaidizi wa Rayon Sports amekutwa amefariki dunia ingawaje mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijawekwa bayana kwa kuwa hata jana alishiriki vizuri mazoezi na alikuwa bukheri wa afya.

Mwili wake kwa sasa umehifadhiwa mochwari ya Rwampala huku taratibu nyingine za mazishi zikiendelea kufanyika
 
Hii dunia watu wanapitia matatizo mengi sana ! Watu wana misongo ya mawazo mnooooooo. Lakini sisi wanadamu tunatumia muda mwingi sana kutake advantage ya matatizo Yao na kuyakuza mambo, sometimes tunaenda mbali na kufanya matatizo ya wengine habari za kucheka na kupiga soga za umbea ! Kumbe wengine wanaumia na mioyo Yao ni dhaifu! It's about time watu wajue mitandao kwa asilimia kubwa wakati inafurahisha wengine pia inachangia wengine kuumia zaidi na hata kupoteza maisha ! Mwenyezi Mungu asisahaulishe watu waliomake fun of situation ya Ndikumana! A lot of people made fun of him kumbe anaumia ndani ! Tunaendekeza binaadamu ubuyu bila kujua duvet bullying takes away lives kwa kiwango kikubwa
 
Back
Top Bottom