Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ubuyuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kidogo ufanane na ule unaoitwa "child support"....Huo mkao hatari tupu!
...and who is making you believe that? Ni ubongo huo huo of course. Talking about conflict of interest...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]4.Ubongo ndio ogani tata(complex organ)kuliko ogani zote zinazojulikana mpaka sasa katika ulimwengu.
Ai wanda whai........?11.Ubongo wa mwanamme ni mkubwa kwa 10% zaidi ya ubongo wa mwanamke.
Baba D mume wa Shunie empire imegeuka na kuwa simba (Lyon). Anakujaga huku kuchungulia chungulia halafu anatimua mbio kurudi kwa Mama D mtoto wa Kitanga....Mzima kabisa lee empire now imekua lyon lee upo vizuri
duh! maonyo makali