Tumia pesa kulingana na bahasha. Bahasha ya akiba ni kwa ajili ya baadaye. Pia bahasha ya kuwekeza ni kwa ajili ya miradi na uwekezaji utakaofanya baadaye.
Pesa siyo kila kitu katika hii dunia, lakini ina nafasi kubwa sana. Hivyo ukitaka kuwa na utawala mzuri katika maisha yako ni vyema ukaimarisha misingi ya matumizi yako ya pesa.
Epuka tabia za kitoto au za watu wasiokuwa na busara, ambao hula au kutumia kila wanachokipata. Naamini njia hizi 10 zilizoelezwa hapa zitakupa mwanzo mzuri wa matumizi ya pesa
10.Ubongo ndiyo ogani peeke mwilini isiyo na seli za kupokea na kuhisi maumivu hivyo hata ukiuchoma ubongo kwa sindano uwezi kuhisi maumivu yoyote yale.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.