andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Kama unakubali, niko tayari kusamehe deni la Uniq (Ng'ombe wawili wa maziwa, mbuzi kadhaa, kuku wa kisasa 20+ na bata ambao idadi hatukuelewana). Acha tu Mpate amuoe Baby S bure lakini Andjul niache nikomae naye. Deni lake ni sugu na lina kila dalili za utapeli na ulaghai dhidi ya ukoo wetu. Huyu siwezi kumwachia aisee. Niko tayari hata kutoa hizo likes 100 ali mradi tu deni hilo liendelee !!!
Ahadi iliyopo kwa maandishi yaweza kubadilika?