moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Dogo uniq popote ulipo, namtafuta babeS, ukimuona mpe salaam zanguSema dogo
Dogo uniq popote ulipo, namtafuta babeS, ukimuona mpe salaam zanguSema dogo
Mzee wa pwani kwema?Mkuu safi, mambo vipi
Hahahaha unamuonea zari banaKwamba anaweza kuolewa na moudgulf akiwa bado kwenye himaya yangu?Nae amekuwa Zari? Sitakiii...
Me too nawakumbuka ndio maana sibanduki hapa hii familia ipo vizuri. Amen[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna muda nina wakumbuka sana ninavyokosa kukutana nanyi hapa.Mungu awape afya njema.[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Jaman kwa nsamaka unatajwa kuharibu na kwa babe s tena!!!?Dogo uniq popote ulipo, namtafuta babeS, ukimuona mpe salaam zangu
Nsamaka ni jirani na rafiki yangu kipenzi cha roho[emoji173] , babes ni shememe, shemelaa, yani shemeji mpendwa. Nawapenda sana wasukuma. Sijui wameniloga!!!? Tena walioolewa.Jaman kwa nsamaka unatajwa kuharibu na kwa babe s tena!!!?
Marhaba hujambo kijana. Una heshima sana. Subiri nikumwagie likesshikamoo...
Kiongozi mkuu, mcheshi mashuhuri, mmiliki wa talaka ya nsamaka. Hujambo kionvoziMzee wa pwani kwema?
Hutaki kitu gani, x wa nsamaka acha maneno mengi, toa talaka mkuuKwamba anaweza kuolewa na moudgulf akiwa bado kwenye himaya yangu?Nae amekuwa Zari? Sitakiii...
Hahahahhaa uzi mzuri huu full vituko showNsamaka ni jirani na rafiki yangu kipenzi cha roho[emoji173] , babes ni shememe, shemelaa, yani shemeji mpendwa. Nawapenda sana wasukuma. Sijui wameniloga!!!? Tena walioolewa.
Habari ya asubuhi kiongozi? Kwema huko...Mkuu habari za asbh
Hana maana kabisa huyu jamaa...kazi yake in kupapasa tu kila akionacho mbele yake.Ipo siku atapapasa na...Jaman kwa nsamaka unatajwa kuharibu na kwa babe s tena!!!?
"Unacho kitafuta utakipata" (asema Shimba ya Buyenze)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nsamaka ni jirani na rafiki yangu kipenzi cha roho[emoji173] , babes ni shememe, shemelaa, yani shemeji mpendwa. Nawapenda sana wasukuma. Sijui wameniloga!!!? Tena walioolewa.
Hahahahah hivyo tena?????Jamani Jana sikuwepo, naona nimetajwa sana na Andjul. Leo najibu tuhuma moja moja zinazohusiana na ujirani wangu, uchepukaji wangu, urafiki wangu, uchumba wangu na mwana wa KISUKUMU toka USHETU aitwaye NSAMAKA
Hahahahah...... Abiria chunga......Hana maana kabisa huyu jamaa...kazi yake in kupapasa tu kila akionacho mbele yake.Ipo siku atapapasa na...