Hapa ni full vicheko, jiunge hapa upate vyote. Hapa utapata habari, elimu, na burudani toka pembe zote za dunia. Mbali ya hivyo pia utapata likes za kutosha toka kwa marafiki waliojaa hapaDah! Nimecheka sana
Sikuweza kuelewa kinaendelea nn humu leo ndo nimepata picha kdg
Nawatafuta wasukuma, hakuna kingine mkuu"Unacho kitafuta utakipata" (asema Shimba ya Buyenze)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nasikia kuna habari zilizo vunjika hunu ndaniShemeji upo?
Nsamaka vipi kwaniDogo uniq popote ulipo, namtafuta babeS, ukimuona mpe salaam zangu
Dooo, upo wewe. Sijakutia machoni kitambo shemelaa mpenzi. Nikikuona moyo unaburudika sana. Karibu mremboHahahahah hivyo tena?????
Lol. Nacheka kingerezaNawatafuta wasukuma, hakuna kingine mkuu
Hahaha. Umeguswa mzee wa TukuyuHana maana kabisa huyu jamaa...kazi yake in kupapasa tu kila akionacho mbele yake.Ipo siku atapapasa na...
Kama kile ulichokuwa unatafuta kwa Babe S. Hebu sikiliza utamu wake"Unacho kitafuta utakipata" (asema Shimba ya Buyenze)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa ataishia kutoona App ya JF kwenye simu yakeJaman kwa nsamaka unatajwa kuharibu na kwa babe s tena!!!?
[emoji16][emoji16][emoji16]17. Utafiti unaonyesha wanaume wenye nywele nyingi wana akili nyingi pia (lakini sio kwa vichaa maana hiyo ni kesi nyingine kabisa)
HahahKiongozi mkuu, mcheshi mashuhuri, mmiliki wa talaka ya nsamaka. Hujambo kionvozi
Asante!!! Nipo nami nimekukosa sana! Mzima we??? Naona mambo yako si haba....[emoji3][emoji3]Dooo, upo wewe. Sijakutia machoni kitambo shemelaa mpenzi. Nikikuona moyo unaburudika sana. Karibu mrembo
Hahahah mkuki.....Kama kile ulichokuwa unatafuta kwa Babe S. Hebu sikiliza utamu wake
Hahaha. Ngoja akione cha mtemakuni. Atakumbuka maparachichi yakeHahahah mkuki.....
Acha ubazaziDooo, upo wewe. Sijakutia machoni kitambo shemelaa mpenzi. Nikikuona moyo unaburudika sana. Karibu mrembo
Nsamaka ni poa tu, kwani vipi. Acha uoga, nsamaka na babe S ni ndugu, na imesemwa kuwa "kizuri kula na nduguyo"Nsamaka vipi kwani
Utacheka sana mwka huu dogo janja[emoji3] [emoji3] [emoji3]Lol. Nacheka kingereza