mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
poa niambie mzee wa liver kitambo sana mkuu sikuwepo kwenye uzi huuMkuu niaje
Lakini jinsi wanavyoishughulikia ni tofauti ati !
Inasikitisha lakini ndo ukweli wenyewe!!!
Alikuwa anatest zali huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 631396hahahahaha sasa anakimbia
"Hakuna mtu anayeweza kukufanya usijithamini bila ruhusa yako mwenyewe"
...ya kufanya nini Numbisa?Mida mizuri
Ulitaka akupe impact ya aina gani mkuu? Mbali na mikwara na miropoko isiyo na maana, hakuwa na maono wala matumaini yo yote. Ndiyo maana markets karibu zote zilimpuuza. Pole !!!Mkuu mambo vipi habari za state Trump Asia Trip haijanipa impact yoyote kwenye forex
Kula likes...ya kufanya nini Numbisa?