Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kulikuwa na kisa kama hicho katika harusi nchini Misri mwezi uliopita kulingana na mtandao wa Stepfeed.
Katika kisa hicho bwana harusi alifanyiwa upasuaji na matibabu baada ya risasi kumpiga katika nyonga yake.
 
Screenshot_2017-11-15-22-14-49.png
 
Sandy Gaillard mwenye umri wa miaka 25 ambaye ni mwanaharakati wa chama cha mrengo wa kulia cha National Front aliwafanya maafisa wa polisi kuanzisha msako mkubwa uliohusisha wanajeshi 50 na helikopta moja ,mahakama iliambiwa
 
Mpenziwe Gaillard aliwaelezea maafisa wa polisi mnamo mwezi Julai wakati alipomtumia ujumbe kwamba alikuwa ametekwa nyara katika buti ya gari nyeusi , mahakama hiyo iliopo mji wa kusini wa Mende iliambiwa.
 
Back
Top Bottom