Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hicho kibwagizo cha utakipata tuu

Polee dadii wangu, ndo ukam sasa...........
Jaribu kulala lakini dadiii pls
Kibwagizo hicho kinanoga kama kikibwagizwa na Andjul. Bahati mbaya naye sijui kapotelea wapi.

Nimekusikia. Ngoja nikalale. Uwe na siku njema na Mungu Akubariki sana. Daima mtumainie Yeye na kila kitu kitakuwa sawa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
 
Asantee Shimba[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nawe lala salama Malaika wa Mungu wakulinde
[emoji9] [emoji9] [emoji9]
 
Makamu wa rais, Emmerson Mnangagwa alifutwa kazi wiki iliyopita, na kuchangia mke wa rais Grace kuwa na fursa wa kumrithi Mugabe, hali iliyosababisha maafisa wa vyeo vya juu jeshini kuhisi kutengwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…