Anafahamika sana kwa mpango yake ya mageuzi ya umiliki wa ardhi miaka ya 1990, ambapo mashamba yaliyomilikiwa na Wazungu yalitwaliwa na kupewa wakulima Waafrika.
Wanasiasa wa kizazi cha wazee waliopigania uhuru wakiwakilishwa na Mnangagwa wamekuwa wakishindana na kizazi cha wanasiasa wa umri mdogo maarufu kama "Generation-40" wanaoungwa mkono na Bi Mugabe.
Kama mmoja wa watu walio karibu sana na rais, Grace amewekewa vikwazo na EU na Marekani sawa na mumewe. Vikwazo hivyo ni pamoja na mrufuku ya usafiri na kuzuiliwa kwa mali.
Miongoni mwa biashara nyingine zake nyumbani ni shamba la ng'ombe wa maziwa viungani mwa Harare, ambalo alijitwalia kama sehemu ya mageuzi kuhusu umiliki wa ardhi yaliyoanza kutekelezwa 2001.
Bi Mugabe huwa mkali sana kwa maneno na wiki iliyopita alimweleza mpinzani wake, makamu wa rais Mnangagwa, kama "nyoka" ambaye "lazima agongwe kichwani". Siku iliyofuata, Rais Mugabe alimfuta kazi Mnangagw
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.