Rais Robert Mugabe yuko katika kizuizi cha nyumbani mjini Harare lakini ripoti ambazo hazijathibitishwa zinasema kuwa mke wake Grace ambaye alikuwa anataka kumrithi akimekimbia kwenda Namibia
Mahala alipo Mnangagwa pia hapajulikani.
Lakini mzozo kuhusu ni nani anaweza kumrithi Mugabe kati ya Bi Grace Mugabe na Bwa Mnangagwa umekigawanya chama cha Zanu-PF miezi ya hivi karibun
Saa kadha baadaye walichukua udhibiti wa makao ya kituo cha habari cha serikali ZBC na kutangaza kuwa walikuwa wanawalenga waalifu wanamzunguka Rais Mugabe.
Mwaka 2002, Chiwenga na washirika wengine 18 wa karibu wa Bw Mugabe waliwekewa vikwazo na Umoja wa Ulaya, Marekani na New Zealand, ikiwa ni pamoja na marufuku ya usafiri na kuzuiliwa kwa mali yao.
Mwaka 2002, Chiwenga na washirika wengine 18 wa karibu wa Bw Mugabe waliwekewa vikwazo na Umoja wa Ulaya, Marekani na New Zealand, ikiwa ni pamoja na marufuku ya usafiri na kuzuiliwa kwa mali yao.