Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Pesa zipo za kununulia dagaa na unga wa muhogo. Njoo tu tuziponde ila Jakitoo wangu utambebea mbeleko gani hasa ukizingatia kuwa ndo nimehangaika naye kuzitafuta? Au uko radhi kuwa mke wa pili? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Ukishapata pesa niite nije kukusaidia kutumia[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Utakipataaaaaaaaaaaaaaaaaa !!!
Mke wa pili hiyo vepeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pesa zipo za kununulia dagaa na unga wa muhogo. Njoo tu tuziponde ila Jakitoo wangu utambebea mbeleko gani hasa ukizingatia kuwa ndo nimehangaika naye kuzitafuta? Au uko radhi kuwa mke wa pili? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Weweeeeee! Utakubali nikivuta sekandi waifu? Kama vile nakuona ulivyonuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mke wa pili hiyo vepeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kitu gani? Kinawahusu manyumbu au mafisi? Hata nguvu za kwenda huko sina. Nilienda huko jana nikaweka mtego wa povu lakini mpaka leo hakuna aliyenasa. Sijui hilo jukwaa nalo linataka kupoteza sifa yake kuu (source kuu ya mapovu?)Hahahahahaa nimeona kitu jukwaa la siasa nimekuja chekea huku
Hahaha hii hapa comment nimeona imekuchekesha piaKitu gani? Kinawahusu manyumbu au mafisi? Hata nguvunza kwenda huko sina. Nilienda huko jana nikaweka mtego wa povu lakini mpaka leo hakuna aliyenasa. Sijui hilo jukwaa nalo linataka kupoteza sifa yake kuu (source kuu ya mapovu?)
Siku hizi wamekosa nguvu ya kutoa povu hali ngumu.Kitu gani? Kinawahusu manyumbu au mafisi? Hata nguvunza kwenda huko sina. Nilienda huko jana nikaweka mtego wa povu lakini mpaka leo hakuna aliyenasa. Sijui hilo jukwaa nalo linataka kupoteza sifa yake kuu (source kuu ya mapovu?)
Niliiona na ilinichekesha sana. Wanasiasa wetu hawajakomaa. Kwani angemsifia Masha na kumtakia mema huko aendako angepungukiwa na nini? Mtu ambaye alimpigania kufa na kupona kuwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki? Siasa zetu bado za chuki, kuoneana wivu na kulipana visasi. Zimwi hili demokrasia sidhani kama litatula na kutubakisha sisi Waafrika !!!Hahaha hii hapa comment nimeona imekuchekesha pia
Mbowe ni kama mpenzi ambaye mkiachana badala ya kuimba "I Will Always Love You" wa Dolly Parton, anaimba "Fvck You" wa Ceelo Green.
Niliiona na ilinichekesha sana. Wanasiasa wetu hawajakomaa. Kwani angemsifia Masha na kumtakia mema huko aendako angepungukiwa na nini? Mtu ambaye alimpigania kufa na kupona kuwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki? Siasa zetu bado za chuki, kuoneana wivu na kulipana visasi. Zimwi hili demokrasia sidhani kama litatula na kutubakisha sisi Waafrika !!!
Moudgulf huku shwari mkuuSalaam ho chi minh
Mkuu, upo?Moudgulf huku shwari mkuu