Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mazingira yoooote yaani namaanisha yote[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti ni kiherehere Shimba umenichekwsha kwa nguvu ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kiherehere tu kwa kweli. We unaona linyoka linakuongelesha kwa nini ukae na kusikiliza? Kuhadaiwa hadaiwa tu mpaka leo hii hali haijabadilika sana. Ukimwambia Eva ukweli hutasikilizwa lakini ukichomekea chomekea na viuwongo basi unaona anaanza kubadilisha mapozi...Ajabu sana shemeji...
 
1d6fe91804f132ef88da7745aab4cadf.jpg
Maisha yalisha nifundisha sema ukiwa na moyo wa kusaidia unao tu haijalishi ni wangapi wamekuumiza,mwisho wa siku unawasamehe na kuwaombea unaendelea na maisha mengine
 
Ni kiherehere tu kwa kweli. We unaona linyoka linakuongelesha kwa nini ukae na kusikiliza? Kuhadaiwa hadaiwa tu mpaka leo hii hali haijabadilika sana. Ukimwambia Eva ukweli hutasikilizwa lakini ukichomekea chomekea na viuwongo basi unaona anaanza kubadilisha mapozi...Ajabu sana shemeji...
Ajabu kwakweli....
 
Your love is bright as ever
Even in the shadows
Baby, kiss me
Before they turn the lights out
Your heart is glowing
And I'm crashing into you
Baby, kiss me
Before they turn the lights out
Baby, love me lights out.....[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]

XO
 
Back
Top Bottom