Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
You may lose people you love. You may lose the things you have. But whatever happens, never lose yourself.
Nimejaribu hadi nimeliweza sema ulimi sasa unamajeraha[emoji23][emoji23][emoji23]Nilikaona katoto ka Kihindi kenye miaka 6 kwenye show ya Big shots kakilipangilia neno hili bila kukosea...
Hakika [emoji122] [emoji122]Utu uzima dawa
Acha bana. Tafuna majani ya mlonge. Nasikia yanatibu majeraha ya mdomoni kwa kasi ya ajabu. Pole !!!Nimejaribu hadi nimeliweza sema ulimi sasa unamajeraha[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh!ndo siteresi za msiba ama?
Hapana tena hapana ila Mungu anamakusudi yake kwakweli
Teh!mambo mengine bhana,vyenye binadamu anavyotisha akiwa hana nguo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja niiahie hapa[emoji40] [emoji40]
Sijui hata ni kwanini binadamu tuko hivi...