myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
19:00
Wanasiasa wapo kama tai. Hawachelewi wakiona kifursa kimejitokeza...Kiongozi wa chama cha upinzani cha Movement for Democratic Change (MDC) Morgan Tsvangirai amerejea nchini Zimbabwe.
Mi nasubirisha makwotesheni yake mapya baada ya sekeseke hili...Lakini Mugabe anasisitizia kuwa yenye bado ni raia wa Zimbabwe kwa mujibu wa mtandao wa Times Live nchini Afrika Kusini.