Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mkuu niaje umepotea sana[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Ho chi niaje mkuuMoudgulf huku shwari mkuu
AMUN RAHali ni ngumu. Mungu Akusaidie kijana upate kazi. Nakuombea [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
![]()
Inalipa ila inatakiwa kuwa makini sana muda wote wakati wa kutrademzee wa liver naona ontario anamwaga tuhela twa shukran JF. Forex hope inawalipa wengi
RecordsDef Jam
COLEWORLDLOVESYOU
Hatari sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimefika muhimbili nikakuta watu kibao kwenye foleni.....nikapokea simu nikaongea kwa sauti kubwa "Ndio mweshimiwa Rais ndio tumefika hapa bado atujapata huduma tumekaa kwenye mabenchi"" manesi waliposikia wamenikimbilia kama sita sasa hivi ndio namalizia vipimo...mmoja akaniuliza mh. Rais ni nani yako nikamjibu "Rais wa kamisheni ya ngumi Tanzania Emmanuel Mlundwa ni shemeji yangu amemuoa dada yangu....sasa hivi wote wameninunia
Soukus starsBcbg wenga
COLEWORLDLOVESYOU
NobodyWho knows
COLEWORLDLOVESYOU
3 trump ndaniHome Alone
COLEWORLDLOVESYOU