Loh, masikini pole mwaya. HahahahhaYaani kila ukikaa unaniwaza waza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndiyo sasa hivi nimekuwa singo ledi unachochote cha kusema?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Usiogope wifiChaaa!wifi unamikwara
Sawa nimeelewa[emoji4] [emoji4]
Nimeifuta wifi[emoji4] [emoji4] [emoji4]Niko singo na nimetulia,futa kauli yako wifi[emoji19] [emoji19]
Huyo bob kaa nae wewe,halafu sijaachika nimeacha na hii mada imeishia hapa[emoji40] [emoji23] [emoji23]Pole mpenzi, umeachika lini? Ngoja nikuitie Bob .
[emoji120] [emoji120] uwe na ijumaa njema,umsalimie na SYBNimeifuta wifi[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Na kwako pia wifi kipenzi[emoji4][emoji120] [emoji120] uwe na ijumaa njema,umsalimie na SYB
Umeacha au umeachika? Bora shemeji yangu alivyofanya maamuzi magumu maana ulikuwa unajifanya husikii. Ulitaka kumpanda kichwani.Huyo bob kaa nae wewe,halafu sijaachika nimeacha na hii mada imeishia hapa[emoji40] [emoji23] [emoji23]
Mumeo hajambo?hajaonekana hapa kitambo
Kwema mkuu habari za masikuMzee wa liver huku kwema.
Hahahahaha
HahahahahaRobert Mugabe anawatakieni nyote siku njema.
Ng'waguku ilumbulyane ntogwa. Ulimhola?Kaka shimba eminza bhagheshi.
Bageshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Eti dizaini za akina Andjul. Wewe na ex wako huyo mnapendana sana kwa kweli......Dogo keshaanza kuelewa somo akiwa bado mdogo sana, hahahha huyu akikua ndio atakuwa dizaini za kina andjul.