Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

b954bec6ddf109cd87ce6f995778b89e.jpg
Kumbe hiki chama bado kiko active eeeh?
 
Nakupa na mtu akusindikize kabisa. Tuonane kesho ukisalimika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
59d0eda4e7e65e0d814ab4ac45b549f5.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] du
 
Pesa zipo za kununulia dagaa na unga wa muhogo. Njoo tu tuziponde ila Jakitoo wangu utambebea mbeleko gani hasa ukizingatia kuwa ndo nimehangaika naye kuzitafuta? Au uko radhi kuwa mke wa pili? [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Me sitaki kuwa mke wa pili maana ukoo hautanielewa...
 
Back
Top Bottom