Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7fd519dc122af9b03e1814f4776e4639.jpg
 
Hv wanaishije??
Mbona nahs kma hawana raha..maana wanakuwa hawawezi kuuacha ulimi kizembe inabd mda wote uwe makini chuma lisikuumize
Hata Mimi sielewi kabisa.

Maana kile cha kubania kwa chini nahisi kinaweza kuchomoka kisha ukakimeza kwa bahati mbaya.

Yaani hapa mpaka Mwili unanisisimka.

Urembo kazi sana
 
Back
Top Bottom