Wengine wanavaa hizi kwa siku maalum tu...Siku zile ambazo wanajua kuna uwezekano mkubwa wa kuchezea "mike" tena ya bae wa ukweli na siyo one night stand. Wanabeba kwenye handbag. Dunia hii ilishashindikana aisee. Na hapo usije kushangaa ukakutana na lipin kama hilo hata ikulu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Hata Mimi sielewi kabisa.
Maana kile cha kubania kwa chini nahisi kinaweza kuchomoka kisha ukakimeza kwa bahati mbaya.
Yaani hapa mpaka Mwili unanisisimka.
Urembo kazi sana
Kazi ikishakamilika, tuwekee VIDEO yake😀
Ubarikiwe KiongoziMuwe Na usiku mwema wadau nawapenda sana
Neno....lakini ghali sana !!!
POGBA na LUKAKU