Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Chama hiki hakitakufa. Kama unataka kuona uhai wake nenda mahali popote panaposifika kwa misambwanda halafu ukae tu uangalie wanachama wake walivyo wengi. Shingo zao utazihurumia !!!Kumbe hiki chama bado kiko active eeeh?
Ni kapambo kazuri au ni kimashine cha kusukumia chapati? Nishati kinatoa wapi?
Na kwako pia Yego. Naona majukumu yamekubana sana. Huonekani...View attachment 632198
[emoji1][emoji1][emoji124][emoji124]
Umejaribu umeshindwa mkuu? Siri kubwa hapo ni kujua chanzo cha nishati ilipo. Wanafizikia wanaamini kuwa kitu hakiwezi kujongea bila kuwa na (chanzo cha) nishati japo kwetu sisi Waafrika hiyo siyo lazima sana ndiyo maana jitu lenye kilo hata 200 eti linaweza kuruka kutoka Sumbawanga mpaka Tarime kwenye ungo tu tena kwa spidi ya ajabu. No propulsion no nothing [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Mtz mimi hata kutengeneza hiki kitu nashindwa?
Nini hii? Kulikwepa jengo la TANESCO ubungo ama? Kipanya bwana !!!
tumemuitikiaRobert Mugabe anawatakieni nyote siku njema.