carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Sekta yetu ya afya bado iko na changamoto nyingi sana hasa kuhusu huduma za mama na mtoto,vifo vya watoto chini ya miaka 5 bado changamoto,vifo vya wamama wajawazito vyaongezeka,vipaombele vyetu ni kujenga flyovers na uwanja wa ndege wakati wagonjwa wanakufa kwa kukosa vifaa tiba so sad![emoji116] [emoji116] [emoji116]
Vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati vyaongezeka Tanzania, mfumo imara wa kitaasisi kuwaokoa
Vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati vyaongezeka Tanzania, mfumo imara wa kitaasisi kuwaokoa