Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nayasikia maumivu (na masikitiko) yako shemeji. Kusema kweli bado hatujawa siriazi na watu wetu na vipaumbele vyetu mara nyingi havina vipaumbele.

Nchi hii inahitaji sana kuwekeza kwenye kilimo na elimu. Watu walime kitaalamu. Ukifanikiwa kuleta mapinduzi ya kilimo basi na mengine yatafuata. Ukiinua kipato cha wakulima hata kwa asilimia 30 hivi, utaanza kuona hata maeneo mengine yameanza kupumua. Bado safari yetu ni ndefu kidogo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…