900 itapendeza
Senior Member
- Nov 17, 2017
- 114
- 104
Ha ahaaaaaa,we nohma sanaUTAFITI
Utafiti unaonyesha hakuna mtu mwenye mwendo waharaka kama mtu alie zidishiwa chenji
Mrembo Sanchoka asema hajui kupika ugaliMsambwanda waweza kuwa kitega uchumi kizuri ukitumiwa vizuri [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushawahi pea slay queen gari alafu unamwambia aongeze mafuta akifika station anakucall "Bae,hakuna petrol naweza weka diesel?" Alafu simu yake inazima??
Hapo ndio unasweat hadi meno..
[HASHTAG]#Stolen[/HASHTAG]
Kwa papa au nguruUgali