Msemaji wa TFF, Alfrd Lucas, ameiambia Goal, wamemteua Ninje, kwasababu ni mtu ambaye anaijua vizuri falsafa ya timu hiyo kutokana kuwa nayo karibu wakati wate ambao imekuwa ikiingia kambini kushiriki michuano mbalimbali akiwa kama msaidizi wa Salum Mayanga.