...kweli tupu !!!!Huu ni Uzi wa kupeana likes
Utani nao umepungua pungua siku hizi. By the way, Nsamaka nilimuona hapa jana. Mmefikia wapi? Keshahamia kwako?Utani wetu
Omar mahita,Saidi mwema
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nsamaka bado anamuota AndjulUtani nao umepungua pungua siku hizi. By the way, Nsamaka nilimuona hapa jana. Mmefikia wapi? Keshahamia kwako?
Na kwako pia mwifwaWikiend njema