Ohoooo Naona jmosi itakuwa nzuri zaidii[emoji4]
Mchungaji karuhusu yummyWanakulana denda mbele ya waalikwa.
Urafiki wetuUpendo kwa wana likes
Kichwa Kichafu kujaaa aseno anawatandika hukuKwa kweli hapa nakenua tu huku nikiomba tuongeze mawili mengine ili kuwakatisha tamaa hawa.
Tukishindwa hawa kuna konokono aina zingine tunaweza kujaribu shemeji [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Shemeji?konokono?kweli akufukuzae hakwambii toka[emoji30][emoji30][emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mchungaji karuhusu yummy
Ila inawezekana kuvipunguza...Hivyo vitu havikwepeki shemeji
Kichwa Kichafu kujaaa aseno anawatandika huku
Kama ni kwetu huku utaambiwa ukipita hapo mida ya jioni kuna mauzauza !!!
Baada ya kuona man u anakula vichapo mfululizo akakimbilia spursOh! Kumbe hii ndiyo timu ya Kichwa Kichafu! nilikuwa silijui hili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kukenua kwema ila hiyo timu yenu steless tuuKwa kweli hapa nakenua tu huku nikiomba tuongeze mawili mengine ili kuwakatisha tamaa hawa.