AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,646
- 2,403
Dada haramu kwako halali kwa mwenzio, tehtehShemeji?konokono?kweli akufukuzae hakwambii toka[emoji30][emoji30][emoji124] [emoji124] [emoji124]
Dada haramu kwako halali kwa mwenzio, tehtehShemeji?konokono?kweli akufukuzae hakwambii toka[emoji30][emoji30][emoji124] [emoji124] [emoji124]
Now you can kiss the bride. Wengine nasikia wanafanyaga zoezi hii kitu kabla ya harusi badala ya mtu kusokomeza liulimi lote lol! hahahahahahahaha
Comment hii ilikulenga wewe hasa! Unakua mbele ya macho yangu nakuona hivi hivi. Hongera babe [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Koh koh koh [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Majaribio mema
Ni kweli kakaKila jambo na muda wake
Mambo ya kusikitisha mnoo....dah.Wanandoa hao walikuwa wameoana kwa zaidi ya muongo mmoja. Wana watoto wawili.