Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wapo waliotofautiana katika viwango vya kuuziana ubunifu. Mathalani wazo bila kuundwa na kusajiliwa kwa jambo au kitu hakumpi mhusika uhalali. Kitu au jambo lililo buniwa na kusajiliwa mwanzoni lilipewa ukomo wa miaka 50 kabla mwingine kupata fursa ya maboresho au matumizi.
 
Taarifa ya msingi ina mambo mawili kwamba mosi ni takwa la malipo ya milioni 300 na pili kusudio la kushtaki.

Kwamba dhamira ya mdai ni taarifa yenye makusudio mawili. Mosi kulipwa na pili kushitaki. Hapa kimsingi shughuli ni madai basi mdaiwa anataarifiwa na kwa hivyo anao wajibu wa kupatana kwa kujibu waraka au kuamua kukaa kimya shauri lifikishwe mahakamani kwa maamuzi.
 
Njia zote ni halali kwamba yapo mapatano nje ya mahakama yanayo tambulika na kuheshimika aidha yapo maamuzi ya hukumu ya mahakama ambayo yanapaswa kuheshimiwa. Uchaguzi wowote wa njia ifaayo ni halali.

Katika muziki pametokea sintofahamu kuhusu madai ya bendi kongwe ya muziki wa dansi Msondo Ngoma dhidi ya WCB ambayo ni kampuni ya msanii maarufu Naseeb Abdul maarufu Diamond kuhusiana na kutumia bila ridhaa au makubaliano rasmi sehemu ya wimbo
 
hasusani kionjo cha saxophone kilichomo kwenye wimbo wa Juwata Jazz Band ulioitwa “Ajali” na kutumika isivyo halali katika wimbo wa WCB ulioitwa “ Zilipendwa “.

Nimalize kwa kusema bendi au mwanamuziki anapotunga wimbo au hata albamu sehemu muhimu ya haki yake huhamishwa kwa yule anaye rekodi na kusambaza baada ya kuuziana, hivyo sehemu muhimu ya hakimiliki inahamia kwa msambazaji halafu katika fursa za kusikika na wigo mpana wa kidigitali muziki unapakuliwa na kusambazwa katika mitandao kwa gharama ndogo.
 
Hufanywa hivi ili kazi ya mwanamuziki iweze kufikia watazamaji na wasikilizaji wengi zaidi hapa vilevile haki miliki inahamika kwa sehemu fulani kwa mwenye mtandao unaotoa fursa.

Ukisikiliza nyimbo zote mbili ile sehemu ya mlio wa mapulizo ya saxophone ni kionjo muhimu lakini hakibadili ujumbe wa wimbo au mirindimo yake vilevile ni muhimu kwa wanamuziki kupenda kutumia ubunifu wao katika kazi.
 
Penye hitaji la matumizi ya ubunifu uliofanywa na wengine yafaa utanguliwe na makubaliano rasmi. Zipo kazi za wanamuziki wa bendi kubwa ambazo kimsingi wamebadili maneno tu vingine ni uigizaji wa kazi za ubunifu wa wengine.

Mwandishi wa makala haya ni msomaji wa Mwananchi
 
632. Who is Lucy?

Lucy is the common name of AL 288-1, several hundred pieces of bone fossils representing 40 percent of the skeleton of a female of the hominin species Australopithecusafarensis. In Ethiopia, the assembly is also known as Diniknesh, which means "you are marvelous" in the Amharic language. Lucy was discovered in 1974 in Africa, near the village Hadar in the Awash valley of the Afar triangle in Ethiopia, by paleoanthropologist Donald Johanson of the Cleveland Museum of Natural History.
 
631. Why does it burn when you drink Alcohol?

Anyone who's ever taken a shot of hard liquor can tell you: it burns on the way down. But it's not the alcohol itself that's burning your throat. Instead, the ethanol in the liquid is making your throat's VR1 heat receptors more sensitive, prompting them to perceive your own body temperature as hot.
 
629. What do astronauts drink?

Silly question. We know it's water!

But then comes the difficult question: how do they have large amount of water supplies for months?

Recycle is the answer.
The space station has a complex water system that squeezes every last drop of available, drinkable liquid out of the environment. In simple terms, astronauts are drinking a filtered mixture that includes recycled shower water, sweat, and urine. This ensures they have continous supply of water during their missions.
Oh, and don't worry. The processed water is super clean and "tasted like bottled water".
 
50. What causes red hair?

About 1 to 2 percent of the human population has red hair. Redheads have genes to thank for their tresses. Research shows red hair usually results from a mutation in a gene called MC1R, which codes for the melanocortin-1 receptor. The pigment found in redhair that makes it red is called pheomelanin.
 
51. Why are there 60 seconds in a minute?

THE DIVISION of the hour into 60 minutes and of the minute into 60 seconds comes from the Babylonians who used a sexagesimal (counting in 60s) system for mathematics and astronomy. They derived their number system from the Sumerians who were using it as early as 3500 BC.
 
Back
Top Bottom