Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ila nini? Moto ungeniwakia ama? Utani ni mzuri. Tunacheka. Tunafurahi na maisha yanaendelea. Maisha ni nini kama siyo kucheka na kufurahi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbalii alaf juzi juzi hapa nlitaka kurudia enzii nikajikataza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ungelala ndani ilaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]