Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-18-17-25-58.png
 
Nimewahi kuulizwa hili swali mara nyingi sana. Kila siku unaonekana una furaha ni kipi hicho kinachokupa furaha kiasi hicho? Kuwa na furaha katika maisha yetu ni kitu muhimu sana kila siku iendayo kwa Mungu Mkuu
Amen mkuu. Kuna watu 24/7 wamenuna na kazi yao kuu ni kulalamika tu eti maisha hayawaendei vyema. Utadhani kuna mtu ambaye maisha yake yanamwendea vyema anavyotaka yawe. Kumbe utashangaa hata Bill Gates anaweza kukwambia kwamba maisha yake hayamwendei vyema. Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Huyu mzungu naona kaamua kweli kweli duh! Mapenzi matamu ukipenda na kupendwa pia. Inafurahisha kumwona huyu dada akiwa na furaha. Ana haters wengi huko mitandaoni mpaka wanamwita jikedume kwa jinsi alivyo. Mungu Ambariki [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom