Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kikosi Hatari

a223ad538ac17b02ad84b8a1003bde69.jpg
 
Mara nyingine kutokana na udhaifu wetu wana adam hudhani wale wenye mapesa mengi ma mali nyingi kuwa wao wana maisha bora sana.
Naamini mara nyingi zaidi huwa tunajidanganya, kwa kuwa wao nao wana matatizo yao kwa level yao, hili tunalisahau.
Tumshkur na kumwomba mola kwa kila jambo huku tukifanya jitihada kwa bidii na maarifa.
 
Miss World 2017, the 67th edition of the Miss World pageant. was held on 18 November 2017 at the Sanya City Arena in Sanya, China. 118 contestants from all over the world competed for the crown. Stephanie Del Valle of Puerto Rico crowned her successor Manushi Chhillar of India at the end of the event.
 
Kuna comments JF ni burudan tosha

Kwaio unataka wawe wanaambatanisha na cha kifo akae navyo izrael? Au uzikwe navyo ukipaa upae na gamba lako, ukifka izrael akisoma,causes of death....."VIAGRA", utaskia akiita Yudaaa! Ongeza mkaaa.
 
Back
Top Bottom