myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
utu na ubinadamu
Dawa za fangasi ni pamoja na
Clotrimazole
Fluconazole
Ketoconazole
Griseofulvin
Nystatin
Itraconazole
Econazole
Terbinafin
Tolnaftate
Jiangalie, unaweza usione njia ya kurudi koromije[emoji3] [emoji3]Uniq nikaribishe Tanga kwa visit angalau ya mwezi mmoja. Nitakaa hotelini...
('Kitoo asiione hii!) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Lala salama usikorome
Hukubaliki mbele ya jamii[emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji yangu amezira vibaya
Unaamini katika hizi ramli za Wagiriki lakini huamini kuhusu vimamba vya Nansio na utabiri wa Sheikh Yahaya?View attachment 627958
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji123][emoji123]
Aaaa wapi. Nilishindwa kupotelea kwa Jessica wa Maine sembuse Tanga?Jiangalie, unaweza usione njia ya kurudi koromije[emoji3] [emoji3]
You missed the point mkuu. Nilikuwa namaanisha kujua kuogelea ni muhimu sana kwa sababu siku moja kunaweza kuokoa maisha yako. Kwa mantiki hii huwezi kulinganisha ujuzi muhimu wa kujua kuogelea na michezo kama bao na chess....Kuogelea ni kama michezo mingine tu, si kila mtu atajua michezo yote, mimi ni mtaalam sana kuogelea lakini sijui namna ya kucheza bao,chess nk
Mungu huwa anagawa mibaraka yake Aonavyo Yeye na kamwe haangalii vigezo hafifu vya binadamu dhaifu na mdhambi. Nyinyi wachungaji mmejimilikisha mibaraka yake ya bure na kuiwekea vigezo vyenu feki vya kibinadamu. Eti ukitoa pesa ndo utabarikiwa. Mara ukisambaza ujumbe kwa watu 10. Sasa mmeingilia mpaka likes. Come on man !!!Iwapo reply hii itafikisha "likes" 1000 Mungu atakubariki wewe,kifaa chako,familia yako,jamaa zako na kazi ya mikono yako.
Bwana Mungu akubariki.
Sikulaumu tena shemeji. Liukoo umelivuruga kwa kweli !!!Me NISHAJITOA RASMI kwenye huu UKOO [emoji124] [emoji124] [emoji124]