Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3e3e6fb3ea1658b909907faa5db696d0.jpg
 
Oh boy....

Ila kama kuna mtu hajui kuogelea, take time ujifunze aisee. Juzi hapa jibaba refuuu linatapa tapa linataka kuzama kwenye swimming pool. Yaani six pack za bure limefakamia maji ya chlorine wanalitia kwenye ambalansi hoiiii. Aaaargh!!!
Kuogelea ni kama michezo mingine tu, si kila mtu atajua michezo yote, mimi ni mtaalam sana kuogelea lakini sijui namna ya kucheza bao,chess nk
 
Back
Top Bottom