Arsenal wameomba dola pauni 30 kwa mchezaji wa safu ya kati Mesut Ozil, 29, ambay emkataba wake uwanjani Emirates unakamilika mwishoni wa msimu. Mjerumani huyo amehusishwa na Manchester United.(Daily Star)
Arsenal wameomba dola pauni 30 kwa mchezaji wa safu ya kati Mesut Ozil, 29, ambay emkataba wake uwanjani Emirates unakamilika mwishoni wa msimu. Mjerumani huyo amehusishwa na Manchester United.(Daily Star)
Mfungaji bora wa Manchester City Sergio Aguero, 29, amefichua kuwa anataka kukihama klabu hiyo ifikapo mwaka 2019 na kureja klabu yake ya utotoni ya, Independiente huko Buenos Aires. (Daily Mirror)
Manchester City watampa mshambuliaji Gabriel Jesus, 20, mkataba mpya wa mashahara wa zaid ya pauni 100,000 kwa wiki nyongeza ya karibu 30,000 kwa wiki kwa mshahara wake wa sasa, chini ya mwaka mmoja tangu ajiunge na klabu hiyo kutoka Palmeiras.
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi anafikiri kuwa mchezaji mwenzake Javier Mascherano, 33, atarudi Liverpool, klabu ambayo alihama mwezi Agosti mwaka 2010. (Diario Gol via Daily Express)
Mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich amefanya mazungumzo na mfanyabiashara Mchina kumuzia hisa za thamani ya pauni milioni 500 kusaidia kujenga uwanja mpya. (Sun)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.