Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna wale ambao wana ugonjwa wa BLOOD CLOTTING ambao mara nyingi hushauriwa watumie asprin ili kisaidia kuyeyusha damu sasa hawa wao ikoje ikoje maana kuna wengine wameambiwa watumie kwa muda wao wote wa maisha ulobakia?
Kama mtaalamu kakwambia hivyo ana maana yake. Kuna dawa zinadhuru wengine ila kwa wengine ni dozi ya milele. Mfano salbutamo wewe ambaye hauna pumu au ugonjwa wa kifua wa mara kwa mara haushauriwi kunywa hata robo kidonge maana ina nguvu kali mno ila wenye pumu anaweza kunywa hata mbili na asipepesuke
 
Back
Top Bottom