Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na baada ya saa nane kama hali yake itaendelea vizuri anaweza kuruhusiwa, tofauti na upasuaji wa kutumia mshipa wa paja ambao tulikuwa tunafanya, ilikuwa baada ya upasuaji mgonjwa ni lazima akae hospitali kwa zaidi ya saa 24 kuangalia maendeleo yake, "amesema.
 
Koh koh koh [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Majaribio mema
 
Lakini hata wageni pia wamejifunza vitu vingi na uzoefu mpya wa baadhi ya magonjwa na mambo ya kiteknolojia wasiokuwa nayo kwenye nchi zao, lakini niwaombe wananchi wajenge utamaduni wa Kupima afya zao mara kwa mara,"amesema.
 
Dar es Salaam. Dk Louis Shika, ambaye alijizolea umaarufu baada ya kushinda zabuni ya kununua nyumba tatu za kifahari kwa takriban Sh3 bilioni lakini akashindwa kulipa asilimia 25 ya fedha hizo, amedai ameanza mchakato wa kurejesha fedha zake zilizo nje ya nchi.
 
Waandishi wa habari waliokuwa katika ziara ya Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye aliyeenda Shirika la Posta kuzungumza na wafanyakazi, walimkuta Dk Shika akiwa katika shirika hilo na walipozungumza naye alisema alifika hapo kwa ajili ya malipo.
 
Dk Shika, ambaye alishikiliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano akituhumiwa kuvuruga mnada wa nyumba hizo za mfanyabiashara wa jijini Dar es Salaam, Said Lugumi, alisema ametumia shirika hilo kulipa fedha hizo za bima kwa benki moja iliyoko Bangkok, Thailand.
 
Kama mnavyoona hii karatasi,” alisema akionyesha fomu ya malipo.

“Nimelipa dola 100 za bima ili kukamilisha fedha zangu zije na nilipie zile nyumba. Hili la bima lilikuwa ni muhimu sana."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…