Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna comments JF ni burudan tosha

Kwaio unataka wawe wanaambatanisha na cha kifo akae navyo izrael? Au uzikwe navyo ukipaa upae na gamba lako, ukifka izrael akisoma,causes of death....."VIAGRA", utaskia akiita Yudaaa! Ongeza mkaaa.
Eti akina Yudaaa. Ongeza mkaaa !!!

Ukisoma comments za aina hii ni lazima ucheke. Safi sana !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…